Community Engagement
JOIN US!
KARIBU SANA TUSHEREHEKEE
Sunday, September 18, 2016, 12:00pm-7:00pm
13 Winthrop St.
Springfield, MA 01105
Make new friends, catch up with neighbors, and have a say in planning for the future of our families and community! Enjoy live African dancing, delicious food, and music.
Lengo la hafla hii:
Kujenga urafiki, fahamu majirani, toa maoni kuboresha familia na jamii zetu, burudika na utamaduni wa kiafrika,chakula kitamu na muziki. Bienvenue, Ikaze.
RSVP /JIBU HARAKA SANA: 9/15/2016.
Contact: Justin 413-285-8722 or 860-508-8651,email: justinr@ctfcs.necoxmail.com